Bukobawadau

Ziara ya Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala

Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala  katika picha ya Pamoja na Wanachuo kutoka Tanzania wanaosoma Chuo Kikuu cha Ghent nchini Ubelgiji. Balozi Kamala yuko kwenye ziara ya kikazi ya kukutana na Watanzania katika eneo lake la uwakilishi.
 Mh Balozi dr deodorous Kamala Balozi wa ubelgiji akiwa na wenyeji wake oostende ubelgiji wakawi wapenda usafiri wa farasi tayri kwa kuanza kutemebelea mji wa oostende baada ya mkutano wake na watanzania waishio oostende
Next Post Previous Post
Bukobawadau