Bukobawadau

MKUTANO MKUU WA KCU WAKULIMA KULIPWA MALIPO YA NYONGEZA

Meneja mkuu wa chama cha ushirika mkoa wa Kagera KCU Bw. Vedasto Ngaiza akitoa ufafanuzi juu masuala mbalimbali baada ya wajumbe wa mkutano huo kutaka maelezo.

 Mwenyekiti wa bodi ya chama kikuu cha ushirika mkoa wa Kagera Bw. John Binushu na meneja mkuu wa chama cha Bw. Vedasto Ngaiza  wakati wa mkutano mkuu wa mizania.
Wajumbe wa mkutano mkuu wa mizani wa chama kikuu cha ushirika mkoa wa Kagera KCU wakifuatilia majadiliano, ambapo maoja na mambo mengine wakulima wa kahawa watalipwa malipo ya nyongeza kwa shilingi 45.85 kwa kahawa ya maganda na shilingi 91.70 kwa kahawa safi.
Wajumbe wa KCU kutoka Muleba wakisoma nyaraka mbalimbali za mkutano mkuu zilizotolewa na KCU  kabla ya kutoa michango yao
Mmoja wa wajumbe wa mkutano mkuu wa mizani wa KCU akitoa mchango wake wakati wa majadiliano.
Next Post Previous Post
Bukobawadau