Bukobawadau

LIVE KUTOKA KIJIJINI KYABITEMBE NI SHUGHULI YA MAZISHI YA MAREHEMU CHARLES MWAKYOMA MCHEZAJI WA ZAMANI RTC KAGERA ,CDA,KAGERA STARS NA RWELU EAGLES

Jeneza lenye mwili wa marehemu Charles Mwakyoma.
 Mdau Super Mkude na  Mzee Jacob Kilyanga(Kabaijo )wakishiriki mazishi hayo.
Mkongwe Hussein Kaitaba akishiriki mazishi ya Rafiki yake marehemu Charles Mwakyoma yaliyofanyika jioni ya leo MAI 28,2013 kijijini Kyabitembe nje kidogo ya Mji wa Bukoba
Katikati ni Mdau Mzee Richard Odhiambo, aka Bondia, daah hapa tunakumbuka mpambano wake wa Mwisho na Marehemu Kaijananta, hapana chezea bukobawadau kwa kugusia....!!!
Veteran Sady Idd
Mzee Kikoti  ukipenda muite Baba Yusuph.mpaka  mwa 90's mji mzima ni yeye na Mangi tu walikuwa na maduka yajulikanayo kama 'KIOSK'.


Mazishi yakiendelea
Binti wa Marehemu amekuwa ni mtu wa kuzimia tangu amepata taarifa akiwa jijini Mwanza.
Mara nyingi tumezoea kuona akifa msanii Mfano, Mangwea, Bi Kidude  watakaokuwa mstari wa mbele zaidi ni wasanii wenzie wa muziki au Kanumba basi watakua ni wasanii wa filamu, hali hiyo imekua hivyo hivyo hapa kyebitembe waliofurika kwa wingi ni familia ya mpira wa Soka.
 Yupo pia Uncle Shebby.
 Mama mkwe wa Marehemu Charles Mwakyoma
Shughuli ya Mazishi ikiendelea
Mama Mkwe wa Marehemu akiaga kwa majonzi makubwa.
 Abuu Omary, mdogo wake Mavumbi Omary ,rafiki mkubwa wa marehemu akishiriki shughuli ya kumstiri rafiki yake.
Paulin  akiweka udongo kaburini
Dogo Eddy nae yupo.
Anaitwa Bube Doza nae akiaga.
Super Self Mkude.
Kaka Mkuu akiweka Udongo Kaburini
Kulia kabisa anaonekana Mama Redempa Mwebesa(Mama Maziku)Mdau wa soka na mwana bukoba veteran wa kike mpambanaji

Yupo Sadi Idd, Sheby Shaban NSSF, Abuu, Said Mshamu, Joseph Kizito, Hussein Kaitaba, Self Mkude, Mshindo Madega, Rajab Paulini
KTIK KUMBUKUMBU BAADA YA KIZAZI HIKI, WACHACHE WAMECHEZA NA ONESMO EDWARD ,ABDUL KITUMBA,JOHN FAYA,ABUU OMARY WA PILI KUSHOTO PICHANI,GODWINI KICHEMU ,OMARY SAID,MOVISHA HAULENA,KASIGA MACHAPATI
CLEMENT KAHABUKA,FULGENCE NOVATUS ,MUSSA MASSARO ,ZUBERI HAMISI 'MZUNGU', ELIAS ROBERT, GOD MWIGA,KICHOCHI LEMBA, VENANCE MOTO,DYNAMO RUNYORO,WILLY KAMUGISHA.

Baadhi ya wachezaji waliokipiga CDA, RTC Kagera, Kagera Stars na timu ya Mkoa ya Rwelu Eaglea waliochuchumaa kushoto ni Mshindo Madega, hakika historia itabaki kama ilivyo.
Kapten wa Bukoba Veteran akipanga mkwanja kabla hawajakabidhi
Historia ya marehemu ikisomwa na Kaka wa Marehemu Ndg Jimmy David Mwakyoma
Kaka Mkuu akikabidhi rambirambi kutoka kwa wanachama wa Bukoba Veteran
Kaka Mkuu akikabidhi rambirambi kutoka kwa wanachama wa Bukoba Veteran naKaka kumtambulisha Abuu Omary, Zamani mchezaji RTC Kagera.
Camera yetu imeangaika sana kuwasaka bila mafanikio Viongozi wa TFF wa Mkoa na wanahabari wa vyombo mbalimbali,japo ata mwakilishi mmoja pengine hawana taarifa ya msiba huu au wapo safarini.
Credit kwa uongozi wa bukoba Veteran na  wanachama pichani.

Picha ya Veteran kwa umoja wakimuaga mwenzao kwa PAMOJA.
Picha ya pamoja Mkurugenzi Samora, Abuu Omary na Hussein Kaitaba.
Mdau mkubwa wa Soka Ndg George Lyakurwa(Wagadi )

BUKOBAWADAU BLOG Tunatoa pole kwa familia ya Marehemu  Charles Mwakyoma ikumbukwe
Kazi ya Mungu haina makosa na Binadamu hupanga wakati ... Lakini ni kazi ya Mungu hatuna jinsi zaidi ya kumuombea Maremu apumzike kwa amani!!!

Next Post Previous Post
Bukobawadau