Bukobawadau

MANGWEA HATUNAE TENA DUNIANI

MANGWEA HATUNAE TENA DUNIANI
Kwa mujibu wa matangazo ya Radio Clouds FM, Mwanamuziki wa
kizazi kipya Albert Mangwea amefariki leo huko Afrika ya Kusini. Chanzo cha kifo chake bado hakijajulikana na wameahidi wakipata watatupasha.

 RIP Mangwea.
Next Post Previous Post
Bukobawadau