Bukobawadau

LIVE;ASUBUHI YA LEO 1.5.2013 MJINI BUKOBA MVUA KUBWA IKIENDELEA KUNYESHA


Katikati ya Mji wa Bukoba mvua kubwa ikiendelea kunyesha.
 Old Kashai road, linaonekana jengo la FINCA  zamani lilijulikana kama duka la Mistry.
 Maeneo ya MTK,na Miraji Afande.
'Nitoke vipi na mvua hii' ndivyo anavyoonekana Mdau Mody Salum akiwa kajiegesha kibalazani.
Next Post Previous Post
Bukobawadau