Bukobawadau

TASWIRA UZINDUZI WA TAMASHA LA FISTULA MJINI BUKOBA

Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Mh. Mama Pangani , Mgeni Rasmi Uzinduzi wa tamasha la FISTURA lililofanyika leo nje ya Viunga vya soko kuu Mjini Bukoba,Uzinduzi huo umedhaminiwa na
Kampuni ya Simu ya Vodacom Tanzania wenye lengo la kuwahamasisha wanawake wenye tatizo la FISTULA kujitokeza ili watibiwe na matibabu ni bure.

 Unamjua unamsikia B.I.N.A.M.U mwana FA akiwajibika

 Rapper mwana FA aupamba vyema ukuzindua wiki ya Maadhimisho ya Siku ya FISTULA duniani Mkoani Kagera katika Manispaa ya Bukoba maeneo ya Soko Kuu mapema ya leo
 Msanii Mwana FA akifanya yake katika nyimbo yake mpya ijulikanayo 'Kama zamani ambayo ameshirikiana na Kilimanjaro Band pamoja na Madojo na Domokaya.

Next Post Previous Post
Bukobawadau