Bukobawadau

#Team Kanyawela#Njia rahisi za kutambua simu feki na simu orijino

(1) Kabla kununua simu ikague kwa kupiga *#06# namba zinazoitwa imei(international mobile equipment identity) zitaonekana. Hizi namba ziko 15 au zaidi na ni lazima zianze na namba 35. kinyume na hapo hiyo feki... na km umepiga hiyo namba na imei hazijaonekana, hiyo pia feki tena aliyefekisha ni mbulula.

(2) Angalia kama hizo namba za IMEI zinafanana na zile namba za nyuma ukichomoa betri pale chini. km hazifanani thats fake. Acha kununua simu kichwakichwa kisa umeona ina tochi mbili na laini

(3) Take your time
Next Post Previous Post
Bukobawadau