Bukobawadau

WAHUSIKA MKOANI KAGERA TUNAWAOMBA WATUPIE MACHO UVAMIZI MAENEO JIRANI NA MTO KANONI KUEPUSHA MADHARA KAMA HAYA.

Kufuatia mvua zinazo endelea kunyesha mkoani Kagera, halinayo inazidi kuwa mbaya sio tu kwa wanaoishi mabondeni bali ata kwa wale wanao kaa jirani na mto kanoni.
Nijikumu la kila mwananchi kutunza mifereji ili kurahisisha maji yaweze kupita kwa urahisi maana kinachoendelea sasa ni miundo mbinu kuzidiwa na wingi wa maji
   Ustaadhi Khalid Galiatano moja kati kati yab wahanga wa mafuriko hayo, kama alivyokutwa na camera yetu akiwa nje ya nyumba yake iliyopo OMUKIGISHA kata ya Bilele, kufuatia nyumba hiyo kujaa  na kuzungukwa na maji.

 Maeneo ya Nyakanyasi, Omukigusha, Uzunguni , kasarani  jirani na mto kanoni hali ni mbaya sana.


 Mpaka tunaende mtamboni bado hatujapata ni athari kiasi gani au vifo kufuatia mafuriko haya.
 BUKOBAWADAU BLOG TUNAWAPA POLE WALE WOTE WALIOKUMBWA NA MATATIZO HAYA NA TUNAZIOMBA MAMLAKA HUSIKU KUTOA ELIMU YA KUTOSHA KWA WAKAZI WA MABONDENI NA ATA WALE WALIO JIRANI NA MTO KANONI
 #Team Kanyawela#Team Bukobawadau ,wasiliana nasi  kupitia 0715 505043,0754 505043au 0784 505045 viber ,Whats App pia tunapatikana BBM kwa pin  26F2A367 NA 234E5 DD7 au 0713 397241 Email bukobawadau@ gmail.com kwetu sisi kazi ndio msingi,kuwa karibu na wadau ni utamaduni wetu ,Uzalendo umesimama kama sera!!!


Next Post Previous Post
Bukobawadau