Bukobawadau

BOMU LALIPUKA ARUSHA KATIKA MKUTANO WA CHADEMA

Habari zilizotufikia zinaeleza kuwa watu wawili wanasadikiwa kufa mkoani Arusha na wengine kujeruhiwa vibaya baada ya mkutano wa Chadema wa kuhitimisha kampeni za udiwani  kushambuliwa kwa bomu katika viwanja vya Kaloleni.  

 Taswira ya hali ya mkutano kabla ya mlipuko wa bomu

Wahanga wa tukio la bomu 
Next Post Previous Post
Bukobawadau