Bukobawadau

CAMERA YETU NDANI YA MJI WA BUKOBA

 Camera yetu iliwanasa wadau hawa wenye mkokoteni wakiuza nguo za mtumba kwa bei saafi kabisa katikati ya manispaaa ya mji wa bukoba Pilika pilika mjini zinaendelea kama kawaida na mji umetulia
Guess hapa wapi?
camera yetu inakutana na wadau wakubwa wa libeneke hili mtaa wa migeyo
Mandhari ya mji wabukoba
Next Post Previous Post
Bukobawadau