Bukobawadau

IBADA MAALUM YA KUMBUKUKUMBU, NA KUANUA MATANGA YA KIFO CHA MAREHEMU WINIFRIDA KENGALO KACHUNKWA

Ibada hii imefanyika nyumbani kwa marehem,Kizigo, Bushagara Kamahumu
Ndugu jamaa na marafiki waliojitokeza kuhudhuria ibada hiyo

Mr.paschal kutoka uganda nae alikuwepo,kulia ni Bwana Philip mfanyakazi wa kadetfu
Mr.Yusto P.muchuruza Mkurugenzi wa KADETFU akitoa utambulisho kwa wageni waliofika katika ibada hiyo.

Utambulisho ukiendelea
Mr,Mike Nshangeki 
Mrs.Yusto P.Muchuruza

Safu ya mbele kabisa ni ugeni mkubwa kutoka Uganda ni Mbunge,Diwani na Naibu Meya wa jiji la kampala.walikuwepo kutoa support kwa Mr.Yusto P.Muchuruza Mtoto wa marehemu WINIFRIDA KENGALO KACHUNKWA

Sancho nae alikuwepo kwa jina maarufu Mjomba.
Mr.Yusto P.muchuruza Akitoa utambulisho kwa Naibu meya wa jiji la Kampala
Naibu Meya wa jiji la Kampala Akitoa neno
Muda wa ibada fupi, na kuweka mashahada ulifika

Mr.and Mrs Yusto P.Muchuruza wakijiandaa kuweka mashahada ya maua
Wanakwaya wakatupia Pambio
Kwaya ikiendelea
Hapa ikakolea

Mzee akisikiliza kwaya kwa makini.
 Wadau

Mda wa maakuli ukawadia
Ekitoke
Mzee in Action
Kutoka Kulia ni Bwana Asaph Rwambi Mwl.Mkuu wa shule ya KADETFU BEMBEREZA M.SCHOOL.

Action za hapa na pale zikiendelea

Bwana mdogo nae hakuwa nyuma.

MWISHO KABISA BUKOBA WADAU BLOG, TUNATOA POLE KWA BW.YUSTO P.MUCHURUZA NA FAMILIA NZIMA KWA UJUMLA.
Next Post Previous Post
Bukobawadau