Bukobawadau

MJUE BONDIA WA KIKE MWAFRIKA Bintou Yawa Schmill WA UJERUMANI  Bintou Yawa Schmill  a.k.a "The Voice"

              Bondia wa Kike Mwafrika nchini Ujerumani
Unapozungumzia mchezo wa ngumi au ndondi nchini ujerumani
Jina la Bondia wa kike mwafrika Bintou Yawa Schmill a.k.a "The Voice"
ndiye anayemudu uringo "Boxing Ring" na kulipeperusha bara la
Afrika ughaibuni.
Bondia  huyo kike  Bintou Yawa Schmill mwenye maskani kule
Drackenburg nje kidogo ya mji wa Bremen,amekuwa kivutio kwa
washabiki wa kimataifa na tishio kwa wapinzani wake anapokuwapo
ulingoni.


Boxer Bintou Yawa Schmill mzaliwa wa Togo mwenye makao yake
nchini ujerumani alianza kucheza ngumi akiwa na umri mdogo
na kushinda mara 14 katika mashindan 24 na mara 4 K.O ,katoka
draw mara 2 uzito wa Water weight 63.5 Kg, katika ngumi za ridhaa.
Kuanzia mwaka 2007 Boxer Bintou Yawa Schmill  a.k.a "The Voice"
alihamua kucheza kungumi za kulipwa kwa uzito wa WELTER WEIGHT  64.0 Kg,
na urefu wa mita 1.70  ,
amepigana na kushinda professional Record 4 na Ushindi wa K.O
mara 3.
Boxer Bintou Schmill kwa sasa kajiandaa kupambambana na bondia
yeyote yule wa kike na mahala popote  duniani.
Next Post Previous Post
Bukobawadau