Bukobawadau

KINANA ATUA MJINI BUKOBA ni kufuatia SAKATA la jana ambapo kikao cha halmashauri kuu ya CCM Mkoa kilimteua Ndg Philbart Nyerere kuwa mjumbe wa kikao hicho na kudhua taflani kitendo kilichopelekea Ndg Abdul Kagasheki(Kananga) kuamua kujiuzuru UNEC , ingawa mwenyekiti anamamlaka kiutendaji. Sakata hilo limepelekea Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kufika Mjini hapa kutafuta suluhu, akiwa uwanja wa ndege Mjini Bukoba leo, KINANA amepokelewa na WANACHAMA wa CCM WAKIWA NA MABANGO YANAYO PINGA KITENDO cha Mwenyekiti wa mkoa kumteua Ndg Philbart Nyerere wakimtuhumu kueneza siasa za udini ndani ya Jimbo la Bukoba. Akiwa bado uwanjani hapo imemladhimu Kinana kuhutubia wanachama hao kwa ufupi na kuwaomba muda kidogo ili akutane na viongozi wa chama

Next Post Previous Post
Bukobawadau