Bukobawadau

MIGEYO STREET BUKOBA NA CAMERA YETU.

Hawa ni wadau waliokutana uso kwa uso na Camera yetu , mtaa wa Migeyo ndani ya Manispaa ya Mji Bukoba.
Babaraba ya migeyo.
Mtaa wa pili Mkabala na Net pharmacy  anaonekana kibaka  ambae jina lake halikufahamika mara moja akiwa chali baada ya kutembezewa kipigo na wananchi wenye asila kali kwa kile kilicho aminika kwamba alijaribu kuiba kiti cha saloon iliyopo mtaa huo.

Next Post Previous Post
Bukobawadau