Bukobawadau

SHANGWE NA CHEREKO HARUSI YA MDAU FELIX MULOKOZI BWAHAMA NA BI JESCA KOKUSHOBORORA BARONGO

Mwanzo wa tukio la kuvutia na la kihistoria kwa Bw. Felix Mulokozi  Bwahama wa Karambi  Ngote Muleba na Bi Jesca Kokushoborora Barongo wa Gera waliofunga ndoa katika kanisa la Kristu Mfalme Tabata - Jijini Dar Es Salaam, wakiingia  katika ukumbi wa wazi wa Viwanja vya Mnazi Mmoja  ilipofanyika sherehe fupi ya kuwapongeza.
 Maids wakiingia ukumbini

Ndelemo zikitawala ukumbini.
HB Entertainment wakiwasindikiza maharusi.
 Muonekano wa  Viwanja vya Mnazi Mmoja.
Hakika mambo ni BAM BAM ndani ya Viwanja vya Mnazi mmoja.
Bi Monica Bwahama Dada wa Bwana harusi akifurahia jinsi mambo yanavyokwenda.
Mc Kabiligi akiwa kajipanga vyema kuakikisha hakialibiki kitu.
Ndugu Denis Libena shemeji wa Bwana Harusi akiwa na Mkewe Methodia Bwahama
Ndugu Datius akiwa na Mkewe Grace
 Mapema mambo yameisha kuwa mambo kwa baadhi ya waalikwa.
 Watu wa karibu na familia.
 Sehemu ya wafanyakazi wa SCI Tanzania Ltd
Tukio la kulishana keki
Maharusi wakilishana keki
Maids wakifurahi na kulishana keki
 Keki zilikatwa kila meza za waalikwa.
Hapa anaonekana  Mr & Mrs Mulokozi wakiongozana akupeleka zawadi ya keki kwa wazazi.
Maharusi wakisalimiana na wazazi upande wa Bwana Harusi kabla ya kuwakabidhi zawadi.
 Bi Harusi  Kokushoborora  akipiga magoti kukakikabidhi zawadi ya Keki kwa wazazi wa Bwana Harusi.
Cheersskwa kila mtu
 Ni fulsa ya utambulisho kutoka kwa Bwana Harusi Felix Mulokozi.

 Utambulisho kwa mama Anna Tibaijuka ambaye ni muajili wa Bwana Harusi katika shule yake ya Kajumulo iliyopo Mjini Bukoba.
 Wakitambulishwa kwa pamoja ni sehemu ya madada wa Bwana harusi.
Bwana harusi akimtambulisha Dada yake ambaye ndiye msimamizi wa shughuli hii.
 Wazazi wa Bibi Harusi wakitoa salamu baada ya utambulisho.
Kaka wa Bi harusi na mkewe.
 Kaka wa Bi Jesca, Bibi harusi wetu maarufu kwa jina la Kokushoborora mzaliwa wa Gera.
Dada wa Bi harusi.
Padre Florence Rutaihwa na Padre Modest katka utambulisho.
 Mama Zabia yeye ni mama mdogo wa Bwana harusi
 Anaonekana Mama Tabu pchani kulia.
Mr & Mrs Willy Lutta walikuwepo kushuhudia ndoa ya mjomba wao Felix 
Ndg Samwel akicheck na FLASH YETU ukumbini hapo.
Waalikwa ukumbini

 Meza ya wazazi wa Bi harusi.
 Upande wa production ,wakiwa wamejipanga vyema Makini Studio
Baadhi ya wafanyakazi wenzake Monica Bwahama
Sehemu ya wageni waalikwa.
 Padre Florence Rutaihwa akitoa nasaha zake
Sehemu ya wafanyakazi wa SCI Tanzania Ltd Walikuwepo kumsupport Dada wa Bwana Harusi
Zawadi kwa dada  Monica Bwahama  kutoka kwa wafanyakazi wenzake.
Zoezi la zawadi likiendelea pichani ni Mama wadogo wa Bwana Felix

Maharusi wakipata huduma ya chakula.



 Chezea ndizi wewe!!

 Muda wa chakula




Waalikwa wakiendelea kupata msosi
Chakula time.
HB wakitoa Burudani.

Ngoma ya kihaya ikitawala ukumbini.
MAHARUSI KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI, MHESHIMIWA PROF. ANNA KAJUMULO TIBAIJUKA
 Picha ya pamoja kati ya maharusi na kamati ya maandalizi.

Wasiliana na Bukobawadau kupitia 0715 505043,0754 505043au 0784 505045 viber whatsapp na matukio yetu utayapata facebook page yetu na  Instagram pia tunapatikana BBM kwa pin  26F2A367 NA 234E5 DD7 au 0713 397241 Email bukobawadau@ gmail.com kwetu sisi kazi ndio msingi,kuwa karibu na wadau ni utamadun,Uzalendo umesimama kama sera!!!


Next Post Previous Post
Bukobawadau