Bukobawadau

MUONEKANO WA MJI WA BUKOBA LEO 20 JUNI, 2013

Muonekano wa barabara ya kashura
Kisiwa cha Musila moja ya kivutio kikubwa katika Mkoa wa Kagera unapatikana kaskazini magharibi mwa nchi ya Tanzania kisiwa hiki kipo makao makuu ya mkoa ndani ya mji wa Bukoba .
Taswira muonekano wa mji wa  Bukoba
BUKOBA ni mji mzuri wa kuwekeza kiutalii
Hekaheka za kimaisha  'kuchwazika'


Hotel ya Kolping


SHUKRANI KWAKO MSOMAJI KWA KUENDELEA KUFUATILIA BUKOBAWADAU

Next Post Previous Post
Bukobawadau