Bukobawadau

SAFARI YA KIGALI NA KIROYERA TOURS

Sasa Wanakagera na Watanzania wanaopenda kutalii safari hii Kiroyera Tours inamkuandalia safari ya kwenda nchi jirani ya Rwanda kwenye jiji la Kigali - ni wakati wa kujifunza kutoka kwa majirani na kukuza eelewa, kurifresh minds, kutembelea vivutioa vya utalii Rwanda. kagera ni mkoa pekee Tanzania unaopakana na nchi nyingi ni wakati wa kuzifahamu zaidi- Wasilina na Willy Kiroyera 0756 823 250
Next Post Previous Post
Bukobawadau