Bukobawadau

HIKI NDICHO ANACHOKIFANYA WABOGOJO YULE ALIYETOKA NA VIDEO YA MR NICE

Yule kijana alieanza kujulikana shughuli zanke za kuruka na kujinyonganyonga kupitia video ya wimbo wa MR NICE wa KIKULACHO Jina lake halisi ni ATHUMAN FORD ATHUMAN A.K.A wabogojo watanzania wengi wanatamani kujua alipo na anachokifanya kuendeleza kipaji chake HUyu jamaa yuko zake  MAKAU CHINA katika mji wa WAMACASINO kama LAS VEGAS Huko marekani akifanya kazi katika show za THE HOUSE OF DANCING WATER
Mungu mjalie mtanzania mwezetu aweze kufika mbali katika kazi zake
CREDIT:PAMOJA BLOG
Next Post Previous Post
Bukobawadau