Bukobawadau

KAMA UKUONA MECHI YA WABUNGE WA SIMBA NA YANGA #TAMASHA LA MATUMAINI 2013 YANGA 4-3 SIMBA

Rais Kikwete akielekea kukagua timu.

Rais Kikwete akisaini mpira utakaotumika.

...Akiwakagua Yanga.

..Akiwakagua Simba.

Rais Kikwete katika picha ya pamoja na Eric Shigongo, Waziri Fenella Mukangara, marefarii na manahodha wa Simba na Yanga.

Vikosi vya Simba na Yanga.

JK akipuliza kipenga.

Mtanange ukiendelea.

Score board ilisomeka hivi.

Mashabiki.

Next Post Previous Post
Bukobawadau