Bukobawadau

KATORO Wananchi wa kata ya katoro wilayani bukoba vijijini wametoa shukrani kwa mkuu wa wilaya ya karagwe Bi Darry Rwegasila, kwa kuunga mkono maendeleo ya kata hiyo kwa kuchangia shilingi milioni moja na laki nne kwa ajili ya ujenzi wa Shule ya Sekondari ya katoro

Next Post Previous Post
Bukobawadau