Bukobawadau

PICHA MBALIMBALI ZA ENZI HIZO,

Bukoba City Center 1972
Maeneo ya Ujirani Mwema, mitaa ya 4ways. Silcon kushoto tunaelekea URAFIKI BAR hadi CRDB

Musoma 1960
Dar-Es-Salaaam 1975 Hiyooooo!!!

arusha 1963 ni njia panda yagoliondoi road hilo jengo ndo ilipo exim bank kwa sasa

 Dodoma City Center 1974
Dar 1975
Toka kitambo tupo na mele yetu ya Mv Victoria 1959
Next Post Previous Post
Bukobawadau