Bukobawadau

RAIS KIKWETE AHITMISHA ZIARA YAKE MKOA WA KAGERA LEO

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na viongozi wa kitaifa na wa mkoa wa Kagera katika kikao cha majumuisho mchana huu katika Ikulu ndogo ya Bukoba. 
Wadau wakimsikiliza Mh. JK


Taswira za Wadau wahudhuriaji


Viongozi mbalimbali wa kitaifa na wa mkoa wa Kagera wakati wa kikao cha majumuisho baada ya kuhitimisha kwa mafanikio makubwa ziara yake ya kikazi ya siku sita mkoani hapa


 Sehemu ya wanahabari wakiwajibika

Sehemu ya mawaziri katika ziara ya Mh. Rais Mkoani Kagera

Next Post Previous Post
Bukobawadau