Bukobawadau

TASWIRA KATIKA MAZISHI YA MAREHEMU PRUKERIA FREDERK LWAKURWA YALIYOFANYIKA KIJINI MENGWE WILAYANI ROMBO

Ndugu wa marehemu akiweka shada la maua kaburini


Shughuli ya mazishi ikiendelea.

Ndugu na watoto wa Marehemu Mama Prukeria Lwakurwa.
 Muda mchache kabla ya mazishi, pichani wanaonekana watoto wa Marehemu, kushoto ni Mdau Samora Lyakurwa na Mdau African


Sehemu ya makaburini
Muonekano wa kaburi la marehem Mama Prukeria Lyakurwa
Mtoto mkubwa wa Marehemu ,Ndg George pichani kulia katika hali ya majonzi  na pembeni kushoto ni Mkewe Bi Jovina GeorgeSehemu ya majirani walio ongozana na familia kutoka bukoba hadi kijijini mengwe kushiriki shughuli ya mazishi
Waombolezaji msibani hapo.

 BUKOBAWADAU BLOG TUNATOA POLE KWA NDUGU NA FAMILIA YA LYAKURWA

Next Post Previous Post
Bukobawadau