BUKOBA SHUKRANI KWAO MAMLAKA YA BANDARI TANZANIA.
Maendeleo bandarini chini ya TPA, huu ni mzani wa MAGARI wa kisasa ,hii ni kupunguza ile hal ya kuhesabu ndizi moja moja mara (*mpongele zimeibiwa*)!Sasa ni roli linapimwa na uzito unajulikana.
Shukrani kwao mamlaka ya bandari tanzania.
Watu wakishangaa gari la Kagera Sugar likipimwa kirahisi hivyoo hakuna haja ya kuhesabu gunia moja moja.
Shukrani kwao mamlaka ya bandari tanzania.
Watu wakishangaa gari la Kagera Sugar likipimwa kirahisi hivyoo hakuna haja ya kuhesabu gunia moja moja.
Sehemu ya uongozi wa bandari mjini Bukoba wakiwa na wachina wataalamu wa kufunga mtambo wa mzani huo.
Maswala ya digital.
Ndani ya ofisi anaonekana Mdau Veda akichukua uzito kwa ndani via king'amuzi!!