Bukobawadau

HONGERA MDAU ELIZABETH KIKOITO KWA SEND OFF .

Bukobawadau BLOG tunatoa hongera kwako Mwanadada Elizabeth Nestory Kikoito  kwa SEND OFF pia hongera kwa wazazi na ndugu wote wamejitahidi kwa shughuli nzuri. 
Bi Jesca pichani dada mkubwa wa Bi harusi mtalajiwa.
Elizabeth Kikoito na mdogo wake pichani Angel Kikoito.
Sehemu ya wadau wakishow love na Bi Elizabeth Kikoito
Muonekano mpya wa Bi Elizabeth, gauni lililomkaa vyema, muonekano wa nywele vinapelekea bashasha kwenye sura na kufurahia send off yake.
Kamati ya mapambo hakika imefanya yake, tuipe pongezi
Daisile michael Onyari kwa usahii ndilo jina la shemeji yetu.
Bi Elizabeth Nestory Kikoito katika picha ya pamoja na rafiki mkubwa wa familia Bi Mahisala Abdulziad.(mama pavy)
Hivi ndivyo maids walivyo chomoka.  
Mama Pavy na Mdau Mwemezi Michael Muhazi 
Happy Kasimbazi , mama pavy , na Bi Jack M wa Alex
Ni shughuli iliyofanyika katika ukumbi wa Mwika social hall uliopo sinza ndani ya jiji la Dar es salaam.
TIMU NZIMA YA BUKOBAWADAU BLOG TUNAKUTAKIA HARUSI NJEMA HAPO KESHO KUTWA TUTAKUWA WOTE UKUMBINI.

Next Post Previous Post
Bukobawadau