Bukobawadau

CHATO-BIHARAMULO NYUMBA KADHAA ZATEKETEA KWA MOTO


Unaambiwa ukistaajabu ya musa......
Mdau pichani inaonekana nyumba ya kumi ikiungua yenyewe bila kuchomwa na mtu na wamiliki wakiwepo, inaaminika zinaungua kwa imani yakishirikina na mkuu wa wilaya ya Chato ameshafika ktk eneo hili la kijiji cha Majengo kutatua mgogoro huu bila mafanikio kwani zinaendelea kuungua na zinazoungua niza 

nyasi tu,kitendo kilichopelekea watu kuezua nyumba zao na kufanya watu kulala nyumba wazi, wakazi wa hapa wanadai iliwahi kutokea cku za nyuma
Next Post Previous Post
Bukobawadau