HABARI MBALIMBALI KWA MKUTASARI KUBWA NI MATOKEO YA KAGASHEKI CUP 2013
Epiq Bongo Star Search itaanza kwenda hewani kuanzia Jumapili tarehe 11, Agosti 2013 kupitia kituo cha Television cha TBC1. Itaonyeshwa kila Jumapili saa 3:00 usiku na marudio yataonyeshwa kila Jumatano saa 8:00 mchana.
Uwanjani kaitaba #Michuano yakagasheki Cup 2013 ikiwa ni robo fainali ya kwanza,timu ya kata ya Kitendaguru aka Makhirikhiri wameweza kuwapa adabu vijana wa Miembeni kwa ushindi wa bao 2-0 Mpira umemalizika.
FULL TIME;kitendaguro 2-0 Miembeni

Kikosi kamili cha Vijana wa timu ya Miembeni iliyotolewa rasmi katika michuano hii.
Mashabiki uwanjani hapa wakifuatilia soka.
Ni full shangwe ndani ya kaitaba.
Taswira kamili ya hali halisi uwanjani kaitaba
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha baraza la Mawaziri kilichofanyika ikulu jijini Da es Salaam leo.Wapili Kulia ni Makamu wa Rais Dkt.Mohamed Gharib Bilal na watatu kulia ni Katibu mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue.(Picha na Freddy Maro).