Bukobawadau

NUKUU YA LEO;Unaweza ukawa imara sana, lakini kumbuka dunia ni imara kuliko wewe. Mti 1 unaweza ukatengeneza mamilion ya njiti za kibiriti lakini muda ukifika njiti 1 tu ya kibiriti inaweza ikachoma msitu mzima, hivyo kuwa mwema kwa kila mtu, ispokua usimpe mtu siri ya mafanikio yako huenda akawa njiti kwako.

Next Post Previous Post
Bukobawadau