Bukobawadau

JE WAJUA? Kiatu chako kinaweza kukuambia umri wako.

1: Andika namba ya kiatu chako. 
2: Zidisha kwa5. 
3: Jumlisha 50 
4: Zidisha kwa 20 
5: Jumlisha 1013
6.Toa mwaka uliozaliwa....
7: Namba ya kwanza ni size ya kiatu, na namba mbili za mwisho ni miaka yako. Naombeni jawabu.
Next Post Previous Post
Bukobawadau