Bukobawadau

KUTOKA MAKTABA

Kutoka Maktaba: Ma-DJ wakali kabisa wa enzi hizo wakiwa pamoja katika show Club Africana. Toka kulia ni DJ Meb, Neagre Jay, DJ Choggy Sly (RiP) , DJ John Peter Pantalakis, mratibu wao Nassoro Born City (RiP), DJ Kalikali (RiP) na DJ Eddy Sally (RiP) pamoja na mdau.
Next Post Previous Post
Bukobawadau