Bukobawadau

MAADHIMIASHO YA TUKIO LA MWISHO KATIKA AWAMU YA PILI YA MBINU SHIRIKISHI ZA KUENDELEZA MASOKO YA VIAZI LISHE

Baadhi ya maofisa mbalimbali wa serikali waliudhuria tukio hilo.
 Mambo ya ngoma aina ya Kasimbo toka Karambi wilayani Muleba.
Katibu tawala wa wilaya ya Bukoba, Clement Ndyamkama akiangalia maonyesho ya viazi lishe.
Katibu tawala wa wilaya ya Bukoba, Clement Ndyamkama akihutubia wakati wa maonyesho ya viazi lishe.
[PICHA NA AUDAX]
Next Post Previous Post
Bukobawadau