Bukobawadau

MWANDISHI WA CHANNEL TEN, NDG ELIAH RUZIKA AMEPIGWA NA ASKARI POLISI AKIWA KAZINI

Habari za uhakika ni kwamba mwandishi na mpiga picha wa Channel Ten, Eliah Ruzika, amepigwa na askari wa jeshi la Polisi akiwa kazini kwenye mkutano wa wafanyakazi wa Tazara, alipoona vurugu ziwaweza kutokea mkutanoni, alitoka na kuondoka lakini akiwa kwenye mataa ya Tazara, askari waliokuwa wanamfuatilia kutoka chumba cha mkutano wakamkamata na kuanza kumpiga huku wakimlazimisha awape TAPE ya tukio alilorekodi ndani, na kumfunga pingu
Shukrani ziwaendee raia wema kwa kumuokoa na kumfungua pingu.
Next Post Previous Post
Bukobawadau