Bukobawadau

TANGAZO LA MSIBA DAR NA MULEBA

Familia ya Bwana Isaac Kalumuna wa Mbezi Beach Dar Es Salaam anatangaza kifo cha mkewe Annastazia Rwegasira Kalumuna (pichani) kilichotokea Ijumaaa 23Agosti 2013 katika Hospitali ya Massana, Mbezi, jijini Dar es salaam. Mazishi yatafanyika Alhamisi wiki hii, Agosti 29, mwaka huu, 2013 katika Kijiji cha Buganda, Kamachumu, Muleba, Mkoani Kagera.Mwili utaagwa leo Jumanne 27 Agosti nyumbani kwa marehemu, Art gallery Mbezi beach.Kwa tangazo hili, habari ziwafakie ndugu, jamaa na marafiki. "Bwana ametoa Bwana ametwaa
Next Post Previous Post
Bukobawadau