Bukobawadau

WANAPAMOJA WAFIKA KUWAFARIJI FAMILIA YA LYAKURWA KUFUATIA MSIBA WA MAREHEMU MAMA YAO

Wanaonekana Ndg George Lyakurwa na Ndg Samora Lyakurwa wakiwa sambamba na wake zao katikati.
Taswira ya wafiwa na wanapamoja walipofika nyumbani kwa Ndg Samora na George kuwapa pole kufuatia mziba wa marehemu  yao.
 Mzee mzima Mulangira Deo Lugaibula akifuatiwa na Mdau Eugen Kabendera, yupo mdau Mtensa , Mh. Matete around the sade ni Bi lilian Peter Mwise.
 Kaka Mkuu Mtu wa watu sambamba na Eugen.
Poleni sana kwa mara yatena wafiwa, Pole sana Ndg George Timu nzima ya BUKOBAWADAU  BLOG ipo pamoja nanyi
Mwenyekiti wa chama akiwajibika.
Mwanzo wa mikakati muda mchache kabla ya kuelekea mitaa ya National housing wadau wakicheck mahudhulio ya wanachama kijulikanacho kama' pamoja group'
Next Post Previous Post
Bukobawadau