Bukobawadau

Balozi Kamala Aagwa Rasmi Uholanzi

Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya na nchi za Ubelgiji, Luxembourg na Uholanzi Dr. Diodorus Buberwa Kamala akiwa katika picha ya pamoja na Wana-Diplomasia wa Serikali ya Uholanzi baada ya chakula cha mchana kilichoandaliwa na Wizara ya Mambo ya Nje ya Ufalme wa Uholanzi kumuaga rasmi Uholanzi baada ya Serikali ya Tanzania kuamua kuufungua Ubalozi wa Tanzania Uholanzi uliofungwa mwaka 1994 na kuendelea kusimamiwa na Ubalozi wa Tanzania Ubelgiji
Next Post Previous Post
Bukobawadau