Bukobawadau

MTAZAMO:Kwa kuwa tunawatu wanaitwa "watanzania wenyeasili ya asia" na wanakingiwa kifua kabisa...eti wasibaguliwe! je hatuwezi pia kuwa na watu wanaoitwa "watanzania wenyeasili ya Rwanda au Burundi"? Taratibu za uingiaji wao nchini si ni sawa kwa wote!

Next Post Previous Post
Bukobawadau