Bukobawadau

Beyonce - pulled off stage - Sao Paulo - 15.09.2013 - HD

Inaonekana kila anapoelekea malkia wa R&B, Beyonce Knowles, kuna shabiki anamtia matatani. Miezi michache iliyopita wakati akitumbuiza nchini Denmark, shabiki mmoja aliamua kumchapa matakoni(video hapa.) Sasa mengine yamemkuta nchini Brazil. Wakati akitumbuiza katika tour yake nchini humo, Beyonce alienda kuwapa mkono mashabiki wake kutoka jukwaani wakati akiimba. Ghafla mmoja wa mashabiki hao wa kiume alimrukia na kumkumbatia Beyonce kisha akamvuta na kumuangusha kutoka jukwaaani kabla walinzi hawajaingilia kati kumuokoa. Jionee mwenyewe

Next Post Previous Post
Bukobawadau