Bukobawadau

BINTI WA KIHAYA ABELA KIBIRA ATAMBA MAREKANI, ANGALIA VIDEO YA WIMBO WAKE MPYA, BALL & CHAIN

Video mpya ya Abela inaitwa Ball & Chain. Binti huyu ambaye jina lake kamili ni Abela Kibira ana kipaji cha utunzi na uimbaji, Abela ni mzaliwa wa Bukoba, Tanzania lakini kwa sasa anaishi Minneapolis, Marekani. Binti huyu anasauti nzuri, tena ya kipekee na ya kuvutia na kutokana na wimbo wake huu kupendwa na wengi kuna kila dalili za kuteka soko la muziki duniani.Heko Bukoba, Heko Tanzania
Next Post Previous Post
Bukobawadau