Bukobawadau

Check Mashmabulio ya bunduki katika kambi ya Navy Yard Washington katika Picha.

 Magari ya huduma za dharura na maafisa wa usalama washughulikia shambulio la bunduki kwenye mlango wa kambi ya jeshi la majini, Washington Navy Yard, Sept. 16, 2013.
Afisa mmoja wa idara ya polisi ya DC akitembea karibu na kambi ya  Washington Navy Yard baada ya kujulikana kuna mtu mmoja anafanya mashmabulizi ya bunduki ndani ya kambi ya Washington Navy Yard, Sept. 16, 2013.
Polisi wa bunge la Marekani wameimarisha ulinzi kwenye uwanja wa mashariki wa bunge, East Plaza  wakati uchunguzi unaendelea kufuatia shambulio la bunduki katika mtaa wa karibu na eneo hilo kunakopatikana kambi ya jeshi la majini la Washington Navy Yard, Sept. 16, 2013.


Polisi kutoka sehemu mbali mbali walofika kusaidia kutokana na shambulio kwenye kambi ya Washington Navy Yard, Sept. 16, 2013, leave the facility.
Polisi wakikabiliana na shambulio la bunduki katika kambi ya Washington Navy Yard, Sept.
Helikopta ya polisi inaonekana kuzunguka jengo ambalo polisi wanatembea juu ya paa la ke wakijaribu kumtafuta mshambuliaji aliyeshambulia kambi ya  Washington Navy Yard, mjini Washington, Sept. 16, 2013.
KWA HISANI YA VA
Next Post Previous Post
Bukobawadau