Bukobawadau

BREAKING NEWS:AJALI IMETOKEA MDA HUU MAENEO YA KIBAIGWA, GARI LA MIZIGO LINAUNGUA LIMEZIBA BARABARA HAKUNA GARI YOYOTE INAYOWEZA KUPITA

 Muenekano wa picha tulizotumiwa na ripota wetu akiwa maeneo ya ajali ilipotokea
 Chanzo cha ajali mpaka sasa hakijajulikana, watumia barabara hiyo wamekosa njia ya kupita kutokana na ajali hiyo kama unavyojionea katika picha njia imeziba.
Hari ni tete.
Next Post Previous Post
Bukobawadau