Bukobawadau

CHECK KATIKA PICHA ILIVYOKUWA OPERESHENI KIMBUNGA MKOANI KAGERA*wahamiaji walipata mulo kutwa mara tatu*msosi ulikaguliwa na Daktari

Watuhumiwa wa uhamiaji haramu wakiwa katika kambi ya Kagemu nje kidogo ya manispaa ya Bukoba wakisubiri kuhojiwa
Maofisa uhamiaji  wakiwajibika
Wahamiaji raia wa Uganda wakisubiri kusafirishwa kwenda mpaka wa Mutukula kurudi makwao


Anaonekana Mkuu wa Oparesheni Kimbunga kwa upande wa Idara ya Uhamiaji Mkoani Kagera  DCI. Mvano Abdu akiwa msituni pamoja na makamanda wakati wa zoezi la Oparesheni Kimbunga likiendelea
Mambo yakiwa yanazidi kupamba moto
Safari  ya wahamiaji kuelekea Nchini Uganda


Vikosi vya Askari wakiingia kijiji cha Katoro kuanza msako wa wahalifu na wahamiaji haramu mkoa wa Kagera
Wahamiaji wakiwa katika mpaka wa Rusumo  Wilayani Ngara wakiwa katika utayari kuvuka kwenda nchini Rwanda


Maofisa uhamiaji, polisi, jeshi na mgambo wakikagua nyumba ya mhamiaji haramu kijijini Kagarama
Msako mkali ukiendelea  Wilaya ya Bukoba Vijijini
Sehemu ya wahamiaji kutoka vijiji vya Bugabo, Kagabiro-Kasharu, Buhendangabo, Kaagya, Kishanje Rubafu, Mwizi na  Izimbya ndani ya Wilaya ya Bukoba Vijijini

Askari wanaondesha msako wa nyumba kwa nyumba wakisubiri kupewa maelekezo  ya utekelezaji wa Oparesheni Kimbunga
Wahamiaji raia wa Rwanda wakipata chai hapa ni katika kambi ya Kagemu nje kidogo ya Manispaa ya Bukoba
Askari akihakikisha kila mhamiaji anapata haki yake bila kusumbuliwa
Huduma safi ya chai kwa wahamiaji
Wahamiaji haramu wakisubiri kurudishwa makwao katika kambi ya Biharamulo
Msako ukiendelea ambapo wahamiaji haramu waliokamatwa katika kijiji cha Kagarama wakipanda gari ili kupelekwa kambi ya Kagemu kuhojiwa zaidi
Kupitia Bukobawadau Blog picha kwa hisani ya Mwanahabari Dullah kutoka mipakani mkoani hapa


Next Post Previous Post
Bukobawadau