Bukobawadau

HAPA NA PALE WADAU WAKICHECK NA CAMERA YETU

 Mkurugenzi Mtensa wa Linas Club Bukoba.
Mdau Yusuph Wastara na Mdau Dany Bahisi.
Bi Eunice Luangisa akiwajibika dukani kwake
Bi Lilian Peter Mwise akiwajibika.


Muonekano wa Victoria Perch Hotel Bukoba


Kijana Kagame mwendesha bodaboda maarufu mjini Bukoba.
Makutano ya barabara ya kashozi na barabara kuu ya Kashai 
Mitaa ya Miembeni,hii ni barabara iliyojipatia umaarufu sana siku za hivi karibuni ni kuanzia usawa wa duka la Mzee Yusuph maeneo ya Banyenza, MTK Bar, Kwa afande Miraji hadi  Nkango  kuna mambo mengi   yanayijili kitaa hiki kwa nyakati tofauti.
Next Post Previous Post
Bukobawadau