Bukobawadau

SAMAHANI KWA PICHA HIZI;WANANCHI WAJICHUKULIA SHERIA MKONONI,WAUA RAIA-NGARA KAGERA

Hivi ndivyo mauti yalivyomkuta kijana mmoja huko ngara baada ya wananchi wenye hasira kali kumchoma kwa moto.
Uongozi wa kijiji ukiwa eneo la tukio hilo
Tukio hili limetokea Katika kijiji cha MUKAREHE Wilayani Ngara ambapo Kijana mmoja ameuawa kwa tuhuma za wizi wa Maharage.
Next Post Previous Post
Bukobawadau