Bukobawadau

RAIS KIKWETE AMTEUA PROFESA MLAMA KUWA MWENYEKITI WA BASATA

Na Veronica Kazimoto – MAELEZO,Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Profesa Penina Mlama (pichani) kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kwa kipindi cha miaka mitatu ijayo.Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Idara ya Habari - MAELEZO leo, Uteuzi huo wa Profesa Mlama unaanzia mwaka 2013 na unatarajia kumalizika mwaka 2016
Next Post Previous Post
Bukobawadau