Bukobawadau

TAKRIBANI MASAA 7 MVUA IKIENDELEA KUNYESHA MJINI BUKOBA LEO SEPTEMBER 3, 2013

 Mvua ikiendelea kunyesha maeneo mbalimbali Mjini Bukoba
Jengo la Ujirani mwema.

Maeneo ya stend kuu Mjini Bukoba
 Mvua ikiendelea kunyesha kwa mfurulizo wa masaa 7.
Muonekano wa msikiti wa wahindi mjini Bukoba

 Old Kashai road.
 Barabara ya Jamhuri kuelekea Manispaa ya Mji Bukoba
 Ofisi za FINCA, zamani kwa mistry
 Barabara ya Jamhuri , bank mama ya NBC
Muonekano wa Ofisi za TRA katikati ya mji wa Bukoba


 Mdau shafih akiwa ofisini kwake.

 Maeneo ya NBC Club



Katikati ya mji wa Bukoba

Taswira mbalimbali viunga vya mji wa Bukoba, mvua ikiendelea kunyesha kwa takribani masaa 7.
Next Post Previous Post
Bukobawadau