Bukobawadau

Taswira kamili ya Mazishi ya Marehemu Mzee Leonard Ruhinda yaliyofanyika jioni ya leo 21 September 2013 kijijini Rubale Izimbya

Taswira kamili katika shughuli ya mazishi ya Marehemu Mzee Leonard Ruhinda kupitia bukobawadau blog
 Mwanzo wa wanachama wa pamoja group walivyoshiriki shughuli hii ya mazishi ya Mzazi wa Mwanachama mwenzao ndg Mtensa Leonard.
 Safari kutoka bukoba mjini kuelekea Izimbya.
Wanapamoja ndani ya gari wakielekea Izimbya kushiriki mazishi.


 Wadau wakiwasili msibani hapo.


 Mdau Super Self Mkude.

 Kama kawaida Kaka Mkubwa hayupo nyuma katika hili
 Sehemu ya wadau walioshiriki kikamilifu mazishi haya
Rahim Kabyemela akichukua matukio 


 Mdau Jamal (Jamco) Kalumuna katika kubadishana mawazo na wadau wengine
Mwana wa Geans kushoto na Bi Maua Ramadhan
Mdau Jumanne Bingwa akiteta jambo na Mdau Haruna Goronga.
Ndg Salum Mawingo Organizer.
Hakika wadau wa mjini bukoba wameweza kujitokeza kwa wingi kushiriki mazishi haya ya Marehemu Mzee Leonard Ruhinda


 Mdau Siraji Isaack na Optaty Henry
 Ma Kosi Mjane wa Marehemu mara baada ya kuweka udongo katika kaburi .


Devid Mtensa akiweka udongo kaburini


Mama akiweka heshima ya shada la maua.
Wafiwa wakiweka heshima ya mashada ya maua kaburini


Mr Aloyce akishiriki mazishi haya
Mzee Kambuga akitoa neno la shukrani kwa niaba ya familia
Hivi ndivyo ilivyo kuwa Safari ya Mwisho ya Marehemu Mzee Leonard Ruhinda.
Mwenye Mungu aipumzishe roho ya marehemu  mahali pema peponi amen!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau