Bukobawadau

TAARIFA YA MSIBA

Mkurugenzi wa Linas Club bukoba Ndg Mtensa Leonard anasikitika kutangaza kifo cha Baba yake mpendwa mzee Leonard Ruhinda kilichotokea asubuhi ya leo nyumbani kwa marehemu Kijijini Rubale Izimbya Bukoba Vijijini.

Mazishi yatafanyika kesho JUMAMOSI saa 10 jioni huko huko kijijini Rubale.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. Amin! 

BUKOBAWADAU BLOG TUNATOA POLE KWA NDUGU NA JAMAA WALIOFIKWA NA MSIBA HUU.

Next Post Previous Post
Bukobawadau