Bukobawadau

VIWANJA VYA BUKOBA CLUB HIVI PUNDE

Maandalizi ya semina ya fursa kwa vijana wa bukoba, pichani anaonekana Mkurugenzi wa vipindi vya uzalishaji kutoka Clouds Media Group Ndg Ruge Mutahaba wa pili kushoto katika picha ya pamoja na wadau,yupo Willy Kiroyera,Mrisho Mpotaa, Ndg Mbota, Mtangazaji Kibonde na Mdau Ruge Masabala, Semina itafanyika hapo kesho ijumaa 20 sep.2013 katika ukumbi wa Linas Night Club.
Lengo ikiwa ni kuongelea fursa mbalimbali wanazozipata vijana Mjini hapa kuhakikisha wanazitumia ipasavyo.
Next Post Previous Post
Bukobawadau