Bukobawadau

WIMBO MARIA SALOME WA MSANII SAIDA KAROLI WATUMIKA KINYEMELA!!!

Wimbo maria salome umetumika kwenye bonge la movie ya black americans ijulikanayo kama 'peeples.'

CHANZO Chetu kimebaini wimbo huo wa Saida umekuwa published kwao na Westbury Music Ltd ya London. 
Angalizo kwa wahusika wake au yeye mwenyewe awatafute apewe pesa kwa kazi yake na IJULIKANE nani kala pesa hapa Bukoba au Tanzania kiujumla
UKWELI KUHUSU HILI BUKOBA WADAU TUMEFANYA RESEARCH NA HUU NDIO USHAHIDI;peeples (2013)
Soundtracks
Showing all 23 items
Speak It (Don't Leak It!)
Written by Stephen Bray

Performed by Craig Robinson
Produced by Stephen Bray
Published by Braydio Music and TYPEE Music
Child's Play
Written and Performed by Bill Pots
Published by Thomas J. Valentino Inc.
Courtesy of Valentino / Bug Music, Inc.
Maria Salome
Written and Performed by Saida Karoli
Published by Westbury Music LTD
Popsicles N Donuts
Written by Adrian Tillman
Performed by 607
Published by Adrian Tillman
Soul Eyes
Written and Performed by Stan Getz
Published by Prestige Music
Courtesy of Concord Music Group, Inc.
Next Post Previous Post
Bukobawadau