Bukobawadau

Bado BodaBoda 370 na Tsh Milioni 298 kushindaniwa"Timka na Boda Boda"

Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania,Bw.Matina Nkurlu(kushoto)akiwasiliana na mmoja wa washindi kati ya(60)waliojishindia Bodaboda na(24)wamejishindia fedha taslimu katika Promosheni ya “Timka na BodaBoda”ili kujiunga na Promosheni hiyo tuma neno Promo kwenda 15544.katikati ni Afisa huduma za ziada wa kampuni hiyo Rashid Maggid na kulia ni Msimamizi wa bodi ya michezo ya kubahatisha Bakari Abdallah
Next Post Previous Post
Bukobawadau